N/A
It's a good church on how it looks and good religious services are offered.
like
Zaburi 124:1-8 [1]Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa, [2]Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia. [3]Papo hapo wangalitumeza hai, Hasira yao ilipowaka juu yetu [4]Papo hapo maji yangalitugharikisha, Mto ungalipita juu ya roho zetu; [5]Papo hapo yangalipita juu ya nafsi zetu Maji yafurikayo. [6]Na ahimidiwe BWANA; Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno yao. [7]Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka. [8]Msaada wetu u katika jina la BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Deli
The best companies in the category 'Deli'